UBAYA UBWELA UWANJA WA MKAPA KITAUMANA

UBAYA ubwela itakuwa Uwanja wa Mkapa kwa kucheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya APR kutoka Rwanda kitaumana kwa wababe hao ndani ya uwanja kusaka ushindi na utambulisho wa wachezaji wapya na wale waliokuwa na kikosi hicho kwa msimu wa 2023/24. Katika usajili Simba haijatikisa kwenye anga la Bongo kutokana na kuwa na wachezaji…

Read More

MATUMAINI YA TANZANIA OLYMPIC 2024 YAPO KWA SIMBU NA WENZAKE

Matumaini ya Tanzania kwenye michuano ya Olympic 2024 yanayoendelea nchini Ufaransa kwasasa yapo kwa Alphonce Simbu pamoja na wenzake ambao wanaiwakilisha nchi kwenye mchezo wa kukimbia mbio ndefu (Marathon). Mpaka sasa Tanzania imebaki kwenye michuano miwili ambayo ni wa kuongea ambapo kuna mshiriki mmoja huku mmoja akiwa tayari ameondoshwa, Lakini kwenye riadha mbio ndefu wamebaki…

Read More

MWAMBA ALIYEWATIKISA AL AHLY NDANI YA YANGA

KATIKA Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi Al Ahly Waarabu wa Misri walikuwa ni imara kwenye upande wa ulinzi kutokana na ukuta wao kutoruhusu mabao mengi ya kufungwa katika mechi za ushindani. Rekodi zinaonyesha kuwa mabingwa hao ambao walimenyana na Simba kwenye hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika walifugwa bao moja pekee…

Read More

KAZI YA SIMBA MISRI IMEKAMILIKA, ZAWADI INARUDI BONGO

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa wamekamilisha kambi yao nchini Misri kwa mafanikio wanarejea kuwapa furaha mashabiki wao. Agosti 3 itakuwa ni kilele cha Simba Day na tayari wamefanya uzinduzi wa uzi mpya ilikuwa Julai 24 2024, kwenye hifadhi za Mikumi, Morogoro. Simba chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids ni mechi tatu za kirafiki ilicheza…

Read More

SUPU YANGA YAKUTOSHA KUTOKA SPORTPESA

UHAKIKA kuelekea kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi kutakuwa na supu ya maana kutoka kwa SportPesa wadhamini wakuu wa timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Yanga Agosti 4 inatarajiwa kuwa ni kilele cha Wiki ya Mwananchi ambapo ni siku maalumu ya utambulisho kwa benchi la ufundi la Yang, wachezaji wapya na wale waliokuwa…

Read More

DILI LA KIBU D NA KRISTIANSUND BK LIMEKUFA

Dili la Kibu D na timu ya ligi kuu ya Norway,Kristiansund BK,limekufa Baada ya Simba kumtaka mchezaji huyo arejee nchini Mara moja. Mwanzoni Simba walikuwa kwenye mazungumzo ya moja kwa moja na Kristiansund BK,na walikuwa tayari kumuachia mchezaji huyo Ila ghafla Simba wakawatumia email Kristiansund BK ya kuwajuza Kibu hauzwi Tena…hii ni Baada ya kuhisi…

Read More

MUTALE ANA KITU AKIJIBU ATAKUWA MKUBWA

LEGEND Saleh Ally Jembe ni miongoni mwa wale waliokuwa Misri kushuhudia maandalizi ya Simba kuelekea kwenye Ligi Kuu Bara 2024/25 Jembe amezungumzia mchezo mzima kwa kuandika namna hii:- Kisukuma Mutale, maana yake ni mkubwa, ila unatakiwa kuivuta kidogo Mutaale… Huyu Mutale wa Simba kiumbo si mkubwa lakini mambo yake ni makubwa na atakuwa gumzo ninaamini….

Read More

DUBE AFUNGUKIA ISHU YA AZIZ KI, CHAMA

MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Prince Dube ameweka wazi kuwa kucheza timu moja na wachezaji wenye uwezo ikiwa ni Clatous Chama, Aziz Ki kunamuongezea hali ya kujiamini na kupambana zaidi. Dube ingizo jipya ndani ya Yanga kwenye eneo la ushambuliaji utambulisho wake ulifanyika usiku wa Julai 7 ikiwa ni zawadi ya 7/7 kwa Wananchi. Katika mchezo…

Read More

MASHABIKI WA YANGA WAGAWA MAHITAJI MBALIMBALI KWA WAFUNGWA KATIKA GEREZA LA ISUPILO

MASHABIKI wa Tawi la Yanga Mjini Mafinga huko Iringa, wametoa huduma ya kuwakarimu wahitaji na waishio katika mazingira magumu wakiwemo Watoto yatima pamoja na kuwatembelea wafungwa katika Gereza la Isupilo Wilayani Mufindi. Mashabiki hao wamegawa mahitaji mbalimbali kwa wafungwa katika Gereza la Isupilo ikiwemo mafuta ya kupikia , Sabuni miche 75, Karanga debe moja na…

Read More

NAHODHA HUYU ANA ZALI NA MAKOMBE, MEDALI

MSIMU wa 2023/24 nahodha Bakari Mwamnyeto alikuwa kiongozi wakitwaa taji la NBC, CRDB na katika Ligi ya Mabingwa Afrika wamegotea hatua ya robo fainali. Mbali na makombe anaingia kwenye orodha ya nahodha aliyevaa medali ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya Yanga kuwa washindi wa pili. Nyota huyo ameweka wazi kuwa wanatambua mashabiki…

Read More

MGAO WA MILIONI 2,500,000/= ZA EXPANSE KASINO

Sehemu pekee unayoweza kupata bonasi ya ukaribisho hadi 300% ni Meridianbet pekee, jisajili upate bonasi hiyo kucheza michezo ya Expanse na kubashiri michezo mingi. Pia kuna shindano la Expanse ambalo unaweza kujishindia Mgao wa Milioni 2,500,000/= endapo utaibuka mshindi. Cheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni kutoka Expanse Studio. Mwisho wa promosheni ya Shindano la Expanse…

Read More

FOUNTAIN GATE KAMA MBWAI IWE MBWAI

HAWANA jambo dogo Fountain Gate kutokana na kuweka wazi kwamba wana jambo lao kubwa ndani ya Agosti 2024 ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya wa 2024/25 unaotarajia kuanza Agosti 16 2024. Ikumbukwe kwamba kwa msimu wa 2023/24 taji la ligi lipo mikononi mwa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi pia taji la CRDB Federation…

Read More

YANGA YAFICHUA KILICHO NYUMA YA USHINDI

USHINDI wa mabao 4-0 waliopata Yanga dhidi ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini unawapa taji la kwanza la Toyota Cup 2024 huku wakiweka wazi kuwa siri ya ushindi huo ni kuona kila kitu ni muhimu kwao kushinda ndani ya uwanja. Ikumbukwe kwamba Kaizer Chiefs inanolewa na Nasreddine Nabi ambaye aliwahi kuifundisha Yanga kabla ya mikoba…

Read More