YANGA KUMSHUSHA MSHAMBULIAJI HUYU

INAELEZWA kuwa Klabu ya Yanga ipo kwenye hesabu za kuinasa saini ya mshambuliaji wa Medeama Jonathan Sowa. Hiyo yote ni kwa ajili ya kuboresha eneo la ushambuliaji ambalo halijapata mbadala sahihi baada ya kusepa kwa Fiston Mayele. Kasi ya Yanga kwa sasa kwenye ufungaji sio yakubeza lakini inaongozwa na viungo washambuliaji. Ni Aziz KI huyu…

Read More

MWAKINYO: SINA HOFU NA MABONDIA WENYE MIILI WALA PIKO

BONDIA Hassan Mwakinyo ametoa maneno ‘mbofumbofu’ kwa kueleza kwamba haogopi mabondia wenye miili mikubwa na pia huwa anafurahia kuona ‘piko’ anazojichora bondia huyo. Huo ni mkwara kwa moja ya mabondia Bongo ambao wana michoro kwenye miili pamoja na kuwa na umbo kubwa. Mkwakinyo karusha jiwe gizani ambapo hajamtaja bondia ambaye wamekuwa wakiingia kwenye vita ya…

Read More

AFCON IWE NJIA YA KUTUSUA KIMATAIFA, KAZI IFANYIKE

KADRI kila siku zinavyozidi kwenda wachezaji wanatambua namna ushindani ulivyo mkubwa kwenye mashindano husika. Ipo wazi kwa namna ambavyo mashindano yanazidi kuendelea hapo ndipo ugumu wake unaongezeka. Hatua moja inaleta hatua nyingine ambacho kinatakiwa kufanyika ni kwa kila hatua kuwa na mipango makini ambayo italeta matokeo mazuri hapo kesho. Ipo wazi kwamba ambacho kipo mbele…

Read More

CRIS JABAR MWAMBA ANAYEWAZA KITAIFA NA KIMATAIFA

UKIITAJA Tandale basi utapewa zile habari za mwamba Nassib Abdul ambaye jina lake maarufu anaitwa Diamond kuwa yeye hapo ndio maskani yake na muziki wake ulianzia hapo mpaka leo      katusua kitaifa na kimataifa. Vipaji vingi vipo Nyanda za Juu Kusini pia ambapo ukiigusa mitaa ya Njombe Mjini mitaa ya Mpechi kuna Christopher Muhagama…

Read More

HAPPY NEW YEAR 2024

UKURASA mwingine tena unafunguliwa baada ya 2023 kugota mwisho na sasa ni 2024 ambapo mapambano yanaendelea kwenye kila idara ikiwa ni pamoja na ulimwengu wa mpira. Happy New Year 2024 na mastaa waliofanya kazi kubwa kwenye kusaka rekodi namna hii:-

Read More

UANZE MWAKA WAKO KIBINGWA NA MERIDIANBET

Una nafasi kubwa ya kuanza mwaka wako kibingwa na mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet, Kwani kupitia michezo mbalimbali ambayo itapigwa leo wewe mteja wao una nafasi kuufungua mwaka kwa shangwe. Kunako ligi kuu ya Hispania leo itapigwa michezo kadhaa ambayo imepewa ODDS KUBWA na za kibabe pale Meridianbet, Hivo mabingwa hao wa…

Read More