
KAPAMA RASMI NI SIMBA
NASSORO Kapama ni nyota mpya wa Simba akiwa ametambulishwa leo Julai 11,2022 Kapama ni mzawa wa pili kutambulishwa ndani ya kikosi cha Simba baada ya kuanza na Habib Kyombo ambaye alikuwa anakipiga ndani ya Mbeya Kwanza. Nyota huyu alikuwa anacheza Kagera Sugar msimu wa 2021/22 hivyo msimu wa 2022/22 atakuwa ndani ya kikosi cha Simba….