
TANZANIA KAMILI KUIKABILI DR CONGO
HEMED Morocco, Kaimu Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, amesema kuwa wanamatumaini ya kupata matokeo kwenye mchezo wa leo dhidi ya DR Congo hatua ya makundi kufufua matumaini kutinga hatua ya 16 bora. Ipo wazi kuwa pointi moja waliyopata Tanzania ilikuwa kwenye mchezo dhidi ya Zambia walifunga bao la mapema dakika ya 11…