
MUTALE AWAGAWA MABOSI SIMBA SC
JOSHUA Mutale kiungo mshambuliaji wa Simba SC amewagawanya mabosi wa timu hiyo kutokana na wengine kuhitaji kuona anaondoka huku wengine wakihitaji kuona anabaki ndani ya kikosi hicho. Mutale hakuwa kwenye mwanzo mzuri msimu wa 2024/25 kutokana na mechi ambazo alipewa nafasi kucheza chini ya kiwango. Katika mechi za mzunguko wa pili Mutale amekuwa akifanya kazi…