
LIGI KUU BARA KIVUMBI KINGINE LEO
LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea ikiwa ni mzunguko wa pili kwa msimu wa 2023/24. Aprili 26 ikiwa ni kumbukizi ya miaka 6 ya Muungano mchezo mmoja unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Dodoma Jiji ambao ni wenyeji watawakaribisha KMC kwenye mchezo huo wa mzunguko wa pili kusaka pointi tatu muhimu. Dodoma Jiji kwenye msimamo wa…