SIMBA KETE ZAKE ZA MOTO MACHI ZIPO NAMNA HII
KUNA kete za moto ndani ya kikosi cha Simba ambacho kina kazi nzito ya kusaka pointi tatu dhidi ya wapinzani wao ambao nao pia wanazihitaji pointi hizo tatu kwa namna yoyote ile kutoakana na ushindani wa ligi kuwa mkubwa. Wakiwa wameshatinga hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika kazi inatarajiwa kuendelea ndani ya Ligi…