
AMESHINDIKANA MWAMBA CLATOUS CHAMA
MWAMBA wa Lusaka Clatous Chama ameshindikana kutokana na kasi yake ndani ya uwanja kutimiza majukumu yake akishirikiana na wachezaji wenzake katika kusaka ushindi uwanjani kwenye mechi za Ligi Kuu Bara na kimataifa