
MAMELOD YAMEWAKUTA LIGI YA MABINGWA, FAINALI IPO HIVI
KLABU ya AL Ahly imetimga hatua ya fainali Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuifungashia virago TP Mazembe ya DR Congo. AL Ahly imeshinda jumla ya mabao 3-0 TP Mazembe katika mchezo wa nusu fainali ya pili mabao yote yalifungwa. Ilikuwa dakika ya 68 kupitia kwa Mohamed Abdelmonem, Wessam Abou Ali dakika ya 83 na Akram…