
MAKIPA WA SIMBA SC KWENYE KAZI UGENINI
SIMBA SC ikiwa imecheza mechi 27 ndani ya Ligi Kuu Bara ambayo ni namba nne kwa ubora kipa Ally Salim amekaa langoni mechi mbili. Mechi 25 langoni ni Mousa Camara ambaye ni kinara katika kukusanya hati safi akiwa nazo 17 anafuatiwa na Djigui Diarra wa Yanga SC mwenye hati safi 15. Salim kwenye dakika 180…