
YANGA YAPANIA KUFANYA KWELI KIMATAIFA
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kutokana na maandalizi ambayo wanayafanya hesabu kubwa ni kufanya kweli kuelekea mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns ambao ni hatua ya robo fainali. Chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi Yanga imetinga hatua ya robo fainali ikiwa na pointi 8 ambapo katika Kundi D ilikuwa…