
UKUTA WA SIMBA NGOMA NI NZITO
BAADA ya kucheza mechi 18 za Ligi Kuu Bara na kuruhusu mabao 18 benchi la ufundi la Simba limebainisha kuwa watafanyia kazi makosa yanayotokea kwenye mechi zao katika uwanja wa mazoezi. Ngoma ni nzito kwa ukuta wa Simba katika kutoruhusu mabao ya kufungwa kwenye mechi za ligi ambapo kwenye mechi tatu mfululizo imeshuhudia ikifungwa jumla…