
KASI YA MWAMBA SAIDO FUNGA KAZI NOMA
KWENYE funga kazi ya msimu wa 2023/24 ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu Juma Mgunda mwamba wa kazi Saido Ntibanzokiza alikiwasha. Pengine kazi yake ingekuwa hivyo tangu mwanzo wa msimu alikuwa na nafasi ya kuvunja rekodi yake ya msimu wa 2022/23 kwa kutupia mabao 17 lakini upepo ulikuwa tofauti. Kiungo mshambuliaji wa…