
CHELSEA MABINGWA WA DUNIA, SIMULIZI YA USHINDI WA 2025
Kuna siku ambazo hazifutiki katika kalenda ya soka, na Julai 13, 2025, ni mojawapo. Uwanja wa MetLife, New Jersey, umegeuka jukwaa la kihistoria. Chelsea, timu iliyopuuzwa na wengi mwanzoni mwa mashindano, wameandika upya ramani ya dunia kwa kushinda Kombe la Dunia la Klabu kwa mara ya pili. Lakini hadithi hii haikuanza kwenye fainali, ilianza…