ZIDANE: NINAAMBIWA MUDA WANGU BADO

ZIDANE Sereri nyota wa Azam FC ameweka wazi kuwa kuna dhana ya kukatishana tamaa kwenye masuala ya upambanaji jambo ambalo linasababisha wengi kukwama kufikia malengo yao. Nyota huyo atakumbukwa na kipa Moussa Camara wa Simba kwenye Mzizima Dabi alimtungua bao la jioni akiwa ndani ya 18 mwisho ubao ukasoma Simba 2-2 Azam FC na alichaguliwa…

Read More

SIMBA YAGOMEA KUGOTEA ROBO FAINALI

UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa haupo tayari kugotea kwa mara nyingine tena kwenye hatua ya robo fainali kwenye mashindano ya kimataifa Afrika malengo ni kuona wanavuka hatua hiyo na kutinga hatua ya nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika. Katika mchezo wa kwanza wa robo fainali wakiwa ugenini nchini Misri, Aprili 2 2025 baada ya dakika…

Read More

YANGA KUIKABILI COASTAL UNION KWA TAHADHARI

KOCHA Mkuu wa Yanga, Miloud Hamdi amebainisha kuwa mchezo wao dhidi ya Coastal Union hautakuwa mwepesi lakini wamefanya maandalizi mazuri ili kupata pointi tatu muhimu baada ya dakika 90 za mchezo. Ni Aprili 7 2025 Yanga wanatarajiwa kumenyana na Coastal Union ya Tanga, saa 10:00 Uwanja wa KMC, Complex ikiwa ni mzunguko wa pili baada…

Read More

YANGA YAIVUTIA KASI COASTAL UNION

BAADA ya kumalizana na Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kituo kinachofuata kwa Yanga ni Coastal Union. Aprili 2 2025 ubao ulisoma Tabora United 0-3 Yanga, mabao ya Israel Mwenda kwa pigo la faulo, Clement Mzize na Prince Dube yaligota mpaka mwisho wa dakika 90. Yanga ni…

Read More

MZIZE APEWE ULINZI, KASI YAKE INAFURAHISHA

KASI ya mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize ambaye ni mzawa kwenye eneo la ushambuliaji inafurahisha kutokana na kuzidi kuwa bora kila anapokuwa ndani ya uwanja hivyo inabidi aongezewe ulinzi na waamuzi akiwa ndani ya uwanja asiumizwe kwa makusudi. Ikumbukwe kwamba kwenye mchezo dhidi ya Tabora United uliochezwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi alikuwa ni miongoni…

Read More

KINYAGO WA SIMBA: TUTAFANYA KWELI UWANJA WA MKAPA

BAADA ya kupoteza kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika wa hatua ya robo fainali ya kwanza, Uwanja wa Suez Canal, Misri, shabiki wa Simba maarufu kwa jina la Kinyago wa Simba wa Tabata amebainisha kuwa wanaamini mchezo wao ujao dhidi ya Al Masry, Uwanja wa Mkapa watafanya kweli na kutinga hatua ya nusu fainali….

Read More

FOUNTAIN GATE UKUTA WAO PASUA KICHWA

NDANI ya Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/25 kuna timu mbili ambazo ukuta wao kwenye eneo la ulinzi ni pasua kichwa kwa benchi la ufundi kutokana na kuruhusu mabao mengi uwanjani. Safu ya ulinzi namba moja ambayo imeruhusu mabao mengi ni Fountain Gate ambayo imetunguliwa jumla ya mabao 43 huku safu ya ushambuliaji ya…

Read More