
MWAMBA MICHAEL FRED AMEFUNGUKA HAYA KUHUSU SIMBA
MSHAMBULIAJI wa Simba ambayo leo inatarajiwa kucheza mchezo wa fainali Kombe la Muungano dhidi ya Azam FC visiwani Zanzibar amebainisha kuwa bado kuna kazi kubwa ya kufanya muhimu kushirikiana kwenye nyakati zote.