SIO MUDA WA KUTAFUTA MCHAWI NANI NDANI YA TAIFA STARS
MATUMAINI ya mashabiki wa Tanzania ni kuona kwamba wachezaji wanapata matokeo mazuri. Ipo hivyo hata wapambanaji wenyewe wanapoingia kwenye mapambano malengo ni kushinda. Mwisho matokeo ya mpira yanaptikana baada ya dakika 90. Kuna atakayeshinda na atakayeshindwa wakati mwingine inatokea wote wanatoshana nguvu kwenye mchezo husika. Kwa kilichotokea kwa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars…