
NAHODHA SIMBA SHUJAA ATUMA UJUMBE MKUBWA
SIMBA SC inayonolewa na Kocha Mkuu Fadlu Davids imetinga hatua ya fainali Kombe la Shirikisho Afrika kwa ushindi wa jumla ya bao 1-0 lililofungwa na Jean Ahoua, Uwanja wa Amaan dakika ya 44 kwa pigo la faulo, Aprili 20 2025. Aprili 27 2025 nchini Afrika Kusini baada ya dakika 90 ubao umesoma Stellenbosch FC 0-0…