
GAMONDI ATAJA TATIZO LA YANGA LILIPO
MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa tatizo kubwa ambalo lilikuwa kwenye mchezo wao wa kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar ni kushindwa kutumia nafasi ambazo walizipata ndani ya uwanja. Ni Agosti 29 2024 ilikuwa Uwanja wa Kaitaba baada ya dakika 90 ulisoma Kagera Sugar 0-2 Yanga na mabao…