
HAWA WAKALI KWENYE KUFUNGA NA KUTOA PASI, MSHAMBULIAJI MMOJA
KUNA miamba ndani ya Ligi Kuu Bara inafunga na kutoa pasi za mabao jambo ambalo linawafanya wahusike kwenye mabao mengi kwenye timu zao. Clatous Chama, Aziz KI, Pacome na Maxi kwa upande wa viungo huku mshambuliaji akiwa ni Wazir Junior