
? BENCHIKA KUTUA JS KABYLIE YA ALGERIA ??
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba Abdelhak Benchikha anatajwa JS Kabylie ya Algeria.
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba Abdelhak Benchikha anatajwa JS Kabylie ya Algeria.
Mwanamama ambaye huko nyuma alikuwa akifanya kazi mbalimbali za kiburudani za kuwapeleka wasanii mbalimbali wa hapa nchini kufanya show nje ya nchi @ukhtydidas na aliyekuwa mke wa msanii wa Bongo Fleva, Q Chief amefunguka mambo mbalimbali aliyoyapitia kwenye maisha yake ikiwemo ishu ya kunyan’ganywa watoto wake na wazungu na kukaa nao mbali zaidi ya miaka…
Jambo la Chama ni nyeti sana, wanasimba tunampenda sana Chama ila ikitokea ameondoka basi hakuna namna”____ Afisa Habari wa Simba @ahmedally_ akizungumza na Kitenge Tv kuhusu sakata la mchezaji Chama kuondoka Simba.
Klabu ya Azam FC imeridhia maombi ya mshambuliaji wake Prince Dube ya kuvunja mkataba wake na klabu hiyo ambayo aliyatoa mnamo mwezi Machi. Taarifa ya Wanalambalamba hao imebainisha kuwa hatua hiyo imekuja baada ya mchezaji huyo kutimiza matakwa ya kimkataba kama ilivyoainishwa kwenye vipengele vinavyoruhusu upande mmoja kuvunja mkataba.
Leo ni zamu yako kushinda na kuibuka Mfalme wa Meridianbet, mgao wa Mamilioni unatoka muda wowote, chaguo ni lako cheza michezo ya kasino ya Expanse kisha uibuke mshindi. Jisajili hapa na chagua mchezo wako wa ushindi. Michezo ya Kasino inakupa utajiri, ambapo Meridianbet watatoa bonasi za kasino kwa washindi 40 pekee, ambao watakuwa na…
Azam FC watapata Kiasi Cha €200,000 ambayo inafika €220,000 Plus Bonuses ambayo ni sawa 619,323,099.78 Lakini pia Azam FC wameweka Kipengele Cha First Refusal kwa maana kama akitaka Kurejea tena Tanzania Azam wanatakiwa kutaarifiwa kwanza kama Wana uhitaji nae au sio ndo anaweza kwenda team nyingine. Hii inaonekana ni Biashara nzuri Kwa Azam FC kwasababu…
NAHODHA na beki wa kati wa Yanga, Bakari Mwamnyeto jana ameongeza mkataba mwengine wa miaka miwili wa kuendelea kubakia hapo. Mwamnyeto ameongeza mkataba huo, baada ya kufikia muafaka mzuri na Uongozi wa timu hiyo, katika dau la usajili na mshahara atakaouchukua ndani ya miaka miwili atakayokuwepo. Beki huyo alisaini mkataba huo, chini ya Mtendaji wa…
BAADA ya kuitumikia Yanga kwa misimu miwili kwa mafanikio, Beki Joyce Lomalisa (31) anatajwa kutua Namungo FC kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho msimu ujao. Lomalisa awali alikuwa anatajwa kujiunga Simba lakini mambo yakaenda tofauti na sasa inaelezwa Namungo inayonolewa na Kocha Mkongomani, Mwinyi Zahera ina mpango wa kumpa mkataba wa miaka miwili…
Beki Lameck Lawi alijiunga na Simba kwa mkataba wa miaka mitatu huku akiahidiwa kupewa Tsh 130,000,000,kama “Signing –On Fee” na pesa hiyo italipwa kwa awamu tatu. Baada ya kusaini mkataba na Simba Lawi alipewa Tsh 100,000,000,kisha akaahidiwa kupewa Tsh 15,000,000 kwenye msimu wake wa pili na wa tatu. Aidha kwenye mkataba wa Lawi na Simba…
Sloti ya Crazy Time Ongeza mzuka wa utajiri kupitia sloti ya Crazy Time, moja kati ya mchezo wa kasino ya mtandaoni unaofanya poa sana, washindi wanapatikana kila siku tena kirahisi kabisa, Jisajili Meridianbet kasino uzungushe gurudumu la ushindi. Crazy Time ni mchezo wa kipekee kutoka studio za Evolution Gaming. Mchezo huu una dhamira ya kukamilisha…
Taarifa zilizo thibitika ni kwamba Prince Dube amelipa kiasi cha $200,000 kwenda kwa Azam fc ili kuwa huru. Dube alifanya malipo hayo siku ya ijumaa jioni na kutuma vithibitisho vya malipo kwa uongozi wa Azam, uongozi wa Azam unakiri kupokea vithibitisho vya malipo hayo lakini mpaka sasa bado pesa hiyo haijafika kwenye akaunti ya Azam….
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeiondolea Young Africans adhabu ya kufungiwa kusajili wachezaji baada ya kukamilisha malipo ya aliyekuwa mchezaji wao Lazarus Kambole. Awali mchezaji huyo raia wa Zambia alifungua kesi FIFA dhidi ya klabu hiyo ya Ligi Kuu ya NBC kwa kushindwa kumlipa ujira wake. Kambole alishinda kesi hiyo, na Young…
DROO YA HATUA YA 16 BORA #EURO2024 Uhispania ?? vs ?? Georgia Ujerumani ?? vs ?? Denmark Ureno ?? vs ?? Slovenia Ufaransa ?? vs ?? Ubelgiji Romania ?? vs ?? Uholanzi
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Meridianbet Zoran Milosevic, atakuwa mzungumzaji mkuu katika Siku ya Wawekezaji ya Senzal, moja ya jukwaa muhimu zaidi la wawekezaji na wafanyabiashara wakubwa duniani. Tukio hili linafanyika leo Jumatano tarehe 26 Juni huko Belgrade nchini Serbia. Jukwaa la Senzal hukusanya wawekezaji na wafanyabiashara, wataalamu wa fedha, na viongozi wa makampuni kama Meridianbet…
Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal na Ufaransa Thierry Henry ni miongoni mwa majina yanayotajwa kuchukua nafasi ya Rob Page kama meneja wa Wales. Henry, ambaye amewahi kuinoa Monaco na Montreal Impact, anasimamia kikosi cha Ufaransa chini ya umri wa miaka 21 na anajiandaa kuiongoza timu ya Olimpiki ya nchi yake kwenye Michezo huko Paris mwezi…
Timu ya taifa ya Ufaransa imelazimishwa sare ya 1-1 dhidi ya Poland katika mchezo wa raundi ya tatu wa Kundi D kwenye EURO 2024. Sare hiyo inaifanya Ufaransa kumaliza nafasi ya pili kwenye kundi hilo ingawa tayari ilishafuzu hatua ya mtoano. Katika mchezo mwingine wa kundi D, Austria imebainisha Uholanzi 3-2 na kumaliza kileleni mwa…
Mgogoro wa Simba SC na Coastal Union kwa usajili wa Lameck Lawi kama umeufuatilia kwa makini kuna namna ambavyo mpaka sasa inaonyesha utaenda kumalizwa na Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) ama Shirikisho la Soka la Dunia (FIFA) tu. Ndiyo, CAF sio FIFA na FIFA sio CAS watu huwa wanachanganya hivi vyombo viwili,…