
YANGA YATHIBITISHA KUMUONGEZEA MKATABA MPYA NICKSON KIBABAGE
Klabu ya Yanga imethibitisha kumuongezea mkataba mpya beki wa kushoto Nickson Kibabage wa miaka mitatu utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2027.
Klabu ya Yanga imethibitisha kumuongezea mkataba mpya beki wa kushoto Nickson Kibabage wa miaka mitatu utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2027.
Arusha, Tanzania — Juni 29, 2024, Benki ya NCBA Tanzania imezindua rasmi msimu wa pili wa mashindano ya gofu ya NCBA. Mashindano haya yalifanyika kwenye uwanja wa gofu wa Gymkhana, Arusha. Mashindano ya mwaka huu yamelenga kuuinua mchezo wa gofu Tanzania, kama sehemu ya mkakati wa NCBA wa kutunza mazingira. Mashindano ya gofu ya NCBA…
Historia ya Kasino inaonesha kwamba, watu wengi wanaocheza kasino hushinda kuliko kushindwa, Meridianbet Kasino ya Mtandaoni ni chimbo la utajiri na kukamilisha ndoto za mtu yeyote. Kutana na mchezo wa kasino unaitwa Vegas Mega Spin ni mchezo wa sloti wenye nguzo tano katika mistari mitatu na ina mistari 25 ya malipo iliyofungwa. Ili kupata ushindi…
Klabu ya Simba imemtambulisha beki wa kati, Abdulrazack Mohamed Hamza (23) raia wa Tanzania, akitokea klabu ya Supersport United ya Afrika Kusini kwa kandarasi ya miaka miwili itakayomfanya nyota kuhudumu ndani ya Viunga vya Msimbazi hadi June 2026. Abdulrazack Hamza ambaye aliwahi kutamba na Mbeya City, KMC na Namungo FC anajiunga na Simba kama mchezaji…
Klabu ya Simba Sc imethibitisha kukamilisha usajili kiungo mshambuliaji Ahoua Jean Charles raia wa Ivory Coastkwa mkataba wa miaka miwili. Ahoua mwenye umri wa miaka 22 ametokea Stella Club d’Adjamé ya nchini kwao Ivory Coast huku akiwa ndiye MVP wa 2023/2024.
Manchester United ipo tayari kusikiliza ofa kwa ajili ya Marcus Rashford baada ya kuvunjika kwa uhusiano wa mshambuliaji huyo na Meneja Erik ten Hag huku PSG ikitajwa kuhitaji saini ya nyota huyo raia wa England. Kwa mujibu wa ripoti ilikuwa ni mmoja kati ya Rashford au Ten Hag ambaye alihusishwa kutimka klabuni hapo kutokana na…
Klabu ya Yanga imethibitisha kuachana na kiungo mshambuliaji Augustine Okrah hivyo hatakuwa sehemu ya kikosi chao msimu ujao 2024-2025. Okrah raia wa Ghana alitua Young Africans Januari 2024 akitokea Bechem United ya Ghana na kuitumikia timu kwa kipindi cha miezi sita akifanikiwa kufunga bao moja tu. Okrah ambaye pia alipitia Simba Sc akisajiliwa kutoka kutoka…
Unaijua Kasino? Kuna mchezo unaitwa Super Heli na Aviator inafanya poa sana, lakini nikwambie tu Meridianbet Kasino ya Mtandaoni kuna sloti moja inatema hela kama mashine ya ATM. Jisajili Meridianbet uucheze mchezo huu bila shida yeyote. Jinsi ya Kucheza Sloti ya 81 Vegas Magic. 81 Vegas Magic ni sloti ya kasino ya mtandaoni inayokupa pesa…
Kiungo mpya wa ‘Wananchi’ Yanga SC, Mwamba wa Lusaka Clatous Chota Chama kawaaga rasmi ‘Wekundu wa Msimbazi’ Simba SC, kupitia ukurasa wake wa kijamii wa Instagram. Chama kaandika hivi: “Miaka sita iliyopita nilikuja kama mgeni. Mlinipa malengo na changamoto za kuwa bora zaidi. Sina la ziada zaidi ya heshima kwa kila mmoja wenu kwa upendo…
Rhulan Mokwena Maisha yake ndani ya Kikosi Cha Mamelodi Sundowns yamefikia tamati baada ya mabosi wa timu hii tajiri hapa Afrika kuamua kuachana naye wakati huu wapo Kwenye mazungumzo ya kusitisha mkataba wake. Ugomvi mkubwa wa Rhulan Mokwena na Viongozi wa Mamelodi ni Staili yao ya uchezaji …. Fleming Berg ambaye ni Sporting Director wa…
Timu ya taifa ya Brazil imefuzu hatua ya robo fainali ya kombe la Mataifa ya Amerika Kusini licha ya kumaliza hatua ya makundi kwa sare ya 1-1 dhidi ya Colombia katika uwanja wa Levi huko Santa Clara, California Marekani. Brazil imemaliza nafasi ya pili kwenye Kundi D alama 5 baada ya mechi tatu alama mbili…
Klabu ya Yanga Sc imethibitisha kuwa golikipa Djigui Diarra amesaini nyongeza ya mkataba mpya wa miaka miwili utakaombakisha klabuni hapo mpaka 2026.
Keki za Clatous Chota Chama zilizoletwa na Wananchi makao makuu ya Klabu yetu JANGWANI. “Wengi wanauliza mpaka sasa tumenufaika vipi na utambulisho wa Chama. Mpaka sasa tumepokea taarifa za mashabiki wa upande wa pili ambao wamehamia Yanga akiwemo Baba Kamwe nae amemfuata Chama. Wote waliohama tunawaandalia siku maalumu ya kuwapokea” “Suala la Usajili wa Chama…
“Kuna mjadala nimeusikia eti Yanga kwanini wamemtambulisha mchezaji Mkubwa Chama bila jezi kwanza niwapongeze mmekiri kua ni mchezaji mkubwa pia mbona Mbape ametambulishwa lakini hakuna Jezi Rasmi Mbape kavaa mbona hamsemi”_____ Ally Kamwe – Afisa habari wa Yanga akizungumza na wanahabari.
Klabu ya Simba SC imemtambulisha mshambuliaji Steven Mukwala (24) Raia wa Uganda kuwa mchezaji mpya klabuni hapo kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Asante Kotoko ya Ghana. Kwenye michezo 28 msimu uliopita Mukwala aliifungia Asante Kotoko magoli 14 na assist 2.
“Meridianbet imetambulisha Promosheni mpya ya kasino mtandaoni, inayotoa Mamilioni kwa washindi, Jisajili Meridianbet kuwa mshindi” Mashindano ya Cash Days yanapatina Meridianbet kwenye Kasino ya mtandaoni ambapo, ukicheza michezo inayoshindaniwa unajiweka kwenye nafasi nzuri ya kushinda mgao wa Bilioni 3 na Milioni Mia Sita 3,692,605,150/= TZS Promisheni hii ya kasino imegawanyika katika sehemu tofauti, na mwezi…
Yanga SC imetangaza kumuongezea mkataba wa miaka miwili utakaomalizika mwaka 2026 nyota wao Farid Mussa raia wa Tanzania. Nyota huyo ni moja ya nyota waandamizi wa klabu hiyo ambapo ameichezea toka mwaka 2020.