
UWANJA WA MAJALIWA NAMUNGO WAGAWANA POINTI NA SIMBA
NAMUNGO wamekomba pointi moja mbele ya Simba kwa sare ya kufungana mabao 2-2 mchezo wa mzunguko wa pili, Uwanja wa Majaliwa. Licha ya Simba kuanza kufunga kila kipindi walikwama kulinda ushindi huo mpaka dakika ya 90 huku nafasi walizotengeneza wakikwama kuzitumia ikiwa ni pamoja na ile ya Fabrice Ngoma dakika ya 90. Willy Onana alifunga…