
FAILI LA USAJILI SIMBA LAVUJISHWA
FAILI la usajili Simba lavujishwa, Fei, Aziz KI wafungukia tuzo ya ufungaji bora ndani ya gazeti la Championi Ijumaa.
FAILI la usajili Simba lavujishwa, Fei, Aziz KI wafungukia tuzo ya ufungaji bora ndani ya gazeti la Championi Ijumaa.
Wachezaji na viongozi wa timu ya Yanga wakiwa ndani ya ukumbi wa Bunge wakishuhudia wabunge wakijadili makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2024/2025, jijini Dodoma leo Mei 23, 2024.
Mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania nzima Meridianbet wanaendelea kukupatia kile ambacho wewe unakitaka kwenye mechi za ligi mbalimbali zinazoendelea Duniani kote. Unakosaje sasa kukwapua mpunga wa maana?. Beti sasa na ushinde na Meridianbet. Ligi kuu ya Misri (EGYPT PREMIER LEAGUE) kutakuwa na mtanange mzito leo hiihsaa 1:00 usiku El Zamalek atamualika nyumbani kwake Future FC…
WAKIWA na mchezo dhidi ya KMC unaotarajiwa kuchezwa Arusha Mei 25 2024 benchi la ufundi la timu hiyo limebainisha kuwa hesabu ni kupata matokeo kwenye mechi ambazo wanacheza. Juma Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba ushindi wake mkubwa akiwa na timu hiyo ilikuwa mchezo dhidi ya Geita Gold walipopata ushindi wa mabao 4-1 baada ya dakika…
YANGA vinara wa Ligi Kuu Bara wana balaa zito kutokana na kasi yao kuwa kwenye ubora kwenye mechi ambazo wanacheza msimu wa 2023/24. Ipo wazi kwamba Yanga ni mabingwa msimu wa 2023/24 walitwaa taji hilo baada ya kufikisha pointi 71 mchezo wao wa 27 dhidi ya Mtibwa Sugar uliochezwa Uwanja wa Manungu. Kwenye mchezo wa…
KUNA orodha ndefu ya mastaa wa Simba ambao watasepa katika timu mara baada ya mzunguko wa pili kugota mwisho kutokana na mikataba yao kugota mwisho wengine ni ofa mpya ambazo wanazo mezani jambo litakalofungua hesabu za wao kuondoka jumlajumla. Inatajwa kuwa mwamba Kramo jina lake limeshaondolewa mazima kwenye orodha ya wachezaji wa Simba kutokana na…
Hii ni kwa wale wanao sumbuliwa na nyota zao au wanaotaka kufahamu kuhusu elimu ya nyota, tafadhari soma kwa makini ujifunze kuhusu nyota na faida zake. Pia ndani ya Meridianbet kuna mchezo wa kasino ya mtandaoni unaitwa Zodiac unakurahisishia safari yako ya kutengeneza pesa kwa kuzingatia nyota yako. Fahamu Kuhusu Elimu ya Nyota (Zodiac…
MASTA Aziz KI kiungo mshambuliaji wa Yanga amepindua Meza ya vita ya ufungaji bora baada ya kufunga mabao mawili dhidi ya Dodoma Jiji na kufikisha mabao 17 akiwa namba moja chati ya ufungaji. KI amefunga mabao mawili wakati ubao wa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma ukisoma Dodoma Jiji 0-4 Yanga ikiwa ni mchezo wa mzunguko wa…
RASMI Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kwamba fainali ya CRDB Federation Cup inatarajiwa kuchezwa Zanzibar. Ni Uwanja wa New Amaan Complex unatarajiwa kutumika kwenye fainali ya mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa timu zote mbili. Yanga ambao ni mabingwa watetezi watakabiriana na Azam FC ambapo kwenye fainali iliyopita walicheza na…
Shindano la Expanse linazidi kutoa matajiri kibao kila siku, Meridianbet wameongeza mzuka kwa wapenzi wa kasino ya mtandaoni ambapo mgao wa Tsh Milion 2,500,000/= unakusubiri wewe mpenzi wa kasino. Jisajili hapa kuingia kwenye kinyang’anyiro cha ushindi. Katika promosheni hii unapokuwa unacheza mchezo wako pendwa wowote ule uliotengenezwa na Expanse, dau la chini kwa kila…
MWAMBA Saido Ntibanzokiza anafikisha mabao 9 ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 baada ya kufunga mabao mawili kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Geita Gold. Mei 22 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Azam Complex ulisoma Simba 4-1 Geita Gold ambapo pointi tatu mazima zilibaki Msimbazi. Ni Geofrey Julius…
WAKATI Azam FC inakomba pointi tatu mazima dhidi ya JKT Tanzania mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Meja Isamuhyo mwamba Feisal Salum kiungo mshambuliaji wa Azam FC aligusa mpira mara 39. Katika dakika 90 alizokomba na kushuhudia ubao ukisoma JKT Tanzania 0-2 Azam FC, Mei 21 2024 alipiga mashuti matatu ambayo yalilenga lango…
ANA balaa zito mwamba wa Yanga Pacome kiungo chaguo la kwanza chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi
MABINGWA mara 30 wa Ligi Kuu Bara Yanga wamebainisha kuwa kutakuwa Parade la Ubingwa la maana Mei 26 2024 ambalo litaanzia Uwanja wa Mkapa asubuhi mpaka Jangwani. Ipo wazi kwamba Yanga metwaa ubingwa baada ya kucheza mechi 27 ikifikisha pointi 71 ambazo hazitafikiwa na timu yoyote ndani ya ligi msimu wa 2023/24. Hivyo vita yam…
MITAMBO ya mabao ndani ya Simba imerejea tarayi kwa ajili ya kuendelea kutimiza majukumu ndani ya uwanja baada ya kuwa nje kwa muda kutokana na sababu mbalimbali. Kwa sasa Ligi Kuu Bara ipo mzunguko wa pili ambapo timu zinakamilisha hesabu bingwa akiwa tayari ameshajulikana ambaye ni Yanga.
KOCHA Mkuu wa Geita Gold, Dennis Kitambi ameweka wazi kuwa anatambua mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba utakuwa na ushindani mkubwa lakini wapo tayari kusaka pointi tatu muhimu. Mchezo huo ni mzunguko wa pili ambapo kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza baada ya dakika 90 ubao ulisoma Geita Gold 0-1 Simba. Simba…
Lion Kingdom ni sloti kutoka kasino ya mtandaoni yenye safu tano zilizowekwa katika mistari mitatu na ina mistari 25 ya malipo. Ili kushinda, unahitaji kuunganisha alama tatu au zaidi zinazolingana kwenye mstari wa malipo. Jisajili Meridianbet na ushinde. Mchanganyiko wote wa ushindi katika kasino ya mtandaoni hii, huhesabiwa kutoka kushoto kwenda kulia kuanzia safu ya…