
FUNGA KAZI 2023/24 RATIBA HII HAPA
LIGI Kuu Tanzania Bara mzunguko wa pili wa funga kazi unatarajiwa kuwa Mei 28 2024 kwa kila timu kusaka pointi tatu muhimu ndani ya uwanja. Ipo wazi bingwa ni Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi hesabu ni kwenye tuzo ya kiatu bora na nani atamaliza nafasi ya pili msimu wa 2023/24. Mechi za mwisho…