
WAJANE WA CHAMAZI WAFIKIWA NA MERIDIANBET
Kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania , Meridianbet wamefika maeneo ya Mbagala Chamazi kwaajili ya kutoa msaada wa vyakula kwa wajane ambao wana uhitaji kwaajili ya kuendeleza maisha yao. Kama tunavyojua kuwa kuwa mjane kwa namna nyingine huleta huzuni sana kwani mwanamke akiondokewa na mume wake yeye anakuwa ndio baba na ndio mama kama ana familia,…