
LUIS MIQUISSONE AREJEA KWENYE KLABU YAKE YA ZAMANI YA UD DO SONGO
ALIYEKUWA winga wa Klabu ya Simba Luis Miquissone amerejea kwenye klabu yake ya zamani ya UD do Songo kwa ajili ya msimu ujao wa 2024/25. Luis anatajwa kuwa alikuwa anakunja mkwanja mrefu ndani ya kikosi cha Simba akiwa anakula sahani moja na Aziz Ki kiungo wa Yanga kwenye upande wa kuvuta mkwanja mrefu Bongo. Miquissone…