CHASAMBI KUIBUKIA SIMBA
INAELEZWA kuwa mabosi wa Simba wapo kwenye hesabu za kukamilisha usajili wa nyota Ladack Chasambi ambaye yupo ndani ya Mtibwa Sugar. Nyota amekuwa kwenye rada za Simba na Yanga ambapo kila mmoja amekuwa akimvutia kasi kunasa saini yake. Hata hivyo Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba aliweka wazi kuwa usajili wao…