
FAINALI YA CECAFA INAPIGWA LEO, APR V RED ARROWS
INAITWA Armée Patriotique Rwandaise Football Club au APR kama wengi ambavyo wamezoea ilianzishwa 1993 June Mosi. Licha ya historia yao fupi, wamekuwa mojawapo ya klabu zilizofanikiwa zaidi katika ligi ya Rwanda wakishinda mataji ishirini na mawili ya ligi ya Rwanda na makombe kumi na tatu ya Rwanda Cup. APR FC pia imeshinda makombe matatu ya…