
AL AHLY YAKWEA KILELENI MWA MSIMAMO WA LIGI KUU NCHINI MISRI
Klabu ya Al Ahly imekwea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Nchini Misri kufuatia ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya Al Masry huku waliokuwa vinara, Pyramids wakilazimishwa sare ya 1-1 dhidi ya Zamalek. FT: Al Masry 0-1 Al Ahly ⚽ Wessam Abou Ali 62’ FT: Zamalek 1-1 Pyramids ⚽ Mostafa Shalaby 36’ ⚽ Fagrie Lakay…