
KIUNGO WA KAZI YAMEMKUTA YANGA
IMEELEZWA kuwa Yanga ipo katika hatua za mwisho na kiungo wake mshambuliaji, Mghana Augustine Okrah ya kusitisha kusitisha mkataba au kumtoa kwa mkopo ndani au nje ya nchi mwishoni mwa msimu huu. Kiungo huyo alikuwepo katika kikosi cha Simba, katika msimu uliopita kabla ya kuomba mkataba wake uvunjwe ili aende akatafute changamoto nyingine mpya nyumbani…