
YANGA SC BADO WAPO SOKONI KUSAKA WACHEZAJI WAPYA
KAMA unadhani Yanga SC mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara wamemaliza usajili, bado kazi haijaisha kwa kuwa kuna wachezaji wengine wapya bado hawajatambulisha. Ikumbukwe kwamba Yanga SC ni mabingwa mara 31 wa Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na NBC hii ni ligi namba nne kwa ubora Afrika.Ni pointi 82 Yanga SC ilikusanya baada ya mechi…