
YANGA YAPIGA HESABU ZA KUFANYA KWELI KIMATAIFA
UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa kwenye hatua ya robo fainali watafanya kweli kama ilivyokuwa katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Imemaliza mwendo hatua ya makundi ikiongoza kundi D na kibindoni ina pointi 13 mchezo wake wa mwisho ilikuwa dhidi ya TP Mazembe iliposhinda kwa bao 0-1 ikiwa ugenini Meneja wa Yanga, Walter…