
BD YALAMBA UDHAMINI WA MILIONI 639.5 WA betPawa
Kampuni maarufu ya michezo ya kubashiri, betPawa, imesaini mkataba wa mwaka mmoja a wenye thamani ya Sh 639,466,554 kwa Ligi ya Mpira wa Kikapu (BDL) ya mkoa wa Dar es Salaam. Huu ni udhamini wa kwanza na wa kihistoria katika mpira wa kikapu hapa nchini usainiwa jana ambapo mkuu wa Maendeleo ya Michezo na CSR…