
SIMBA YACHOKA KUGOTEA ROBO FAINALI KIMATAIFA
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa wamechoka kugotea hatua ya robo fainali kwenye mashindano ya kimataifa hivyo watapambana kuvuka hatua hiyo. Kwa sasa kikosi cha Simba kipo nchini Misri kwa maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wao wa kimataifa hatua ya robo fainali dhidi ya Al Masry mchezo unaotarajiwa kuchezwa…