Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara ya NBC leo Novemba 21,2025
LIGI Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na NBC inaendelea leo Novemba 21 kwa mechi mbili kali kuchezwa katika viwanja tofauti. Kwa sasa ni raundi ya 7 ambapo timu zinaendelea kupambania kuvuna pointi tatu na mabingwa watetezi ni Yanga SC. Saa 10:00 jioni, KMC FC vs JKT Tanzania, Uwanja wa KMC Complex. Saa 1:00 usiku, Namungo FC…