Simba SC vs Petro Luanda Novemba 23,2025, Camara out
Simba SC vs Petro Luanda mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa Novemba 23,2025 ikiwa ni hatua ya makundi. Mchezo huo awali ulipangwa kuchezwa Novemba 22,2025 saa 1:00 usiku lakini ratiba ilibadilishwa. Kwa mujibu wa Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC, Ahmed Ally katika mchezo huo watamkosa kipa…