Liverpool Yaokolewa Dakika za Mwisho, Yatoshana Nguvu na Leeds United 3–3 Elland Road
Liverpool imelazimika kuridhika na sare ya 3–3 dhidi ya Leeds United katika dimba la Elland Road, mchezo uliokuwa na msisimko mkubwa na mabadiliko ya matokeo kila baada ya dakika chache. Nyota wa The Reds, Hugo Ekitike, aliendelea kuonyesha ubora wake akifunga mabao mawili na kufikisha jumla ya mabao matano kwenye Ligi Kuu England msimu huu….