Gamondi Ataja Kikosi cha Wachezaji 28 Kwa AFCON 2025, Majina Makubwa Yatupwa
Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Miguel Gamond ametaja kikosi cha wachezaji 28 kitakachopeperusha bendera ya Tanzania kwenye michuano wa kombe la Mataifa Afrika AFCON 2025 huko Morocco ambapo Stars ipo Kundi C, sambamba na Uganda, The Cranes, Nigeria na Tunisia Nahodha wa Stars, Mbwana Samatta, Simon Msuva, Kibu Dennis na…