Antoine Semenyo kujiunga na Man City pigo kwa Man United
Klabu ya Manchester City ipo kwenye hatua nzuri za kumdhamini na kuinasa saini ya mshambuliaji wa AFC Bournemouth, Antoine Semenyo, baada ya nyota huyo kuonesha ishara ya kutaka kujiunga na timu ya Man City. Semenyo, staa wa Kimataifa wa Ghana, amekuwa akiwaniwa na vilabu vikubwa vikiwemo Manchester United, Chelsea, Liverpool, na Tottenham, lakini amependelea timu…