Meridianbet Kuchangia Miche 20,000 Kwenye Masoko Yake Ulimwenguni Kote
Ubora wa hali ya hewa umekuwa ukiongoza mijadala mikubwa ya masuala ya kimataifa kwa miongo kadhaa sasa. Ndio maana Meridian Gaming Group inafanyia kazi moja ya miradi mikubwa ya mazingira kwa sasa. Kampuni hii inafanya kazi katika masoko zaidi ya 30 Ulaya, LATAM na Afrika, inapanga kutoa zaidi ya miche 20,000 katika kila soko inaloendesha…