
MWAMUZI AGOMA KUCHEZESHA DABI,NDANI YA CHAMPIONI JUMATANO
MWAMUZI agoma kuchezesha dabi, ni ndani ya gazeti la Championi Jumatano ambalo lipo mtaani leo Desemba 8 nakala yake ni 800
MWAMUZI agoma kuchezesha dabi, ni ndani ya gazeti la Championi Jumatano ambalo lipo mtaani leo Desemba 8 nakala yake ni 800
WAKATI Simba SC ikitajwa kuwa karibu zaidi kuipata saini ya mshambuliaji wa Zanaco FC, Moses Phiri, imeelezwa kuwa Yanga na Azam zimeingilia dili hilo. Mshambuliaji huyo ambaye aliwatesa Yanga katika mchezo wa kirafiki katika kilele cha Wiki ya Mwananchi, ameonekana kuwa lulu kwa timu mbalimbali hapa nchini. Hivi karibuni, ilielezwa kwamba, Phiri usajili…
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa kwa sasa hesabu zao kubwa ni kuelekea katika mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar. Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina inatarajiwa kumenyana na Kagera Sugar, Desemba 12. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex saa 1:00 usiku na utakuwa mubashara Azam…
DICKSON Job, beki wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi yupo kamili gado kwa ajili ya kuwavaa Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Desemba 11, Uwanja wa Mkapa. Job anakumbukwa na mshambuliaji bora wa msimu wa 2020/21 John Bocco aliyefunga mabao 16 kwa namna alivyoweza kumdhibiti…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
Orodha ya waamuzi wa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba v Yanga, Desemba 11.
MBEYA City leo imeichapa mabao 2-0 Dodoma Jiji kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Ni mabao ya Hussein Masalanga dakika ya 42 liliweza kuwafanya Dodoma Jiji kuduwaa kwa muda wakiwa hawajaweza kufunga bao la kuweka mzani sawa. Dakika 45 za kipindi cha pili huko mambo yalizidi kuwa magumu kwa Dodoma…
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wapinzani wao,(Simba) ni timu pekee ambayo imefungwa mabao mengi na Yanga jambo ambalo haliwapi presha kuelekea mchezo wao. Desemba 11, Yanga itakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco. Manara ameliambia Championi Jumatatu kuwa ukitafuta timu ambayo imefungwa mabao…
WAKATI Desemba 9,2021 huu Azam FC ikitarajiwa kuwa mwenyeji wa Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Azam Complex Dar,nyota wa kikosi hicho kwenye upande wa utupiaji ameweka wazi kuwa wanahitaji pointi tatu muhimu. Idriss Mbombo,yeye ni mshambuliaji amesema amejipanga kuwamaliza Kagera Sugar kwenye mchezo huo ili kuipa timu yake alama…
Mashabiki wa Manchester United bado wanatamba kitaa kwa ushindi ambao wameupata katika mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya Crystal Palace. Ushindi wa bao 1-0 unawafanya watambe kwa fujo baada ya kusepa na pointi tatu muhimu Uwanja wa Old Trafford. Bao pekee la ushindi lilipachikwa dakika ya 77 kupitia kwa Fred na kuilaza jumlajumla Crystal…
VINARA wa Ligi Kuu Bara, Yanga walimaliza wiki kwa bata kabla ya leo kuanza kuivutia kasi Simba. Timu hiyi ambayo imekuwa katika mwendo kasi ipo na pointi zake 19 baada ya kucheza mechi 7, imeshinda sita na kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Namungo FC. Desemba 5 wakati Simba ilipokuwa na kibarua cha…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu
IKIWA wachezaji wa Simba ambao wamepewa nafasi ya kuanza kikosi cha kwanza huku kwa kichwa zilipo akili wakiamini kwamba wamemaliza kazi kuna anguko la pili sasa litakwenda kutokea. Hiki hapa kikosi kitakachoanza baada ya mchezo wa kwanza Uwanja wa Mkapa kushinda mabao 3-0. Aishi Manula Israel Mwenda Hussein Mohamed Henock Inonga Pascal Wawa Jonas Mkude…
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umeweka wazi kuwa kwa sasa unahitaji maombi ya Watanzania ili waweze kurejea kwenye ubora wakiwa uwanjani. Kwenye msimamo Mtibwa Sugar ikiwa imecheza jumla ya mechi saba imekusanya pointi mbili pekee jambo ambalo linawapa tabu mashabiki na mabosi wa timu hiyo. Haijaambulia ladha ya ushindi mpaka wakati huu ambapo ipo nafasi ya…
HERITIER Makambo, mshambuliaji wa Yanga ameweka wazi kuwa ikiwa atapata nafasi ya kuanza kwenye mchezo wa Kariakoo, Dabi Desemba 11 mbele ya Simba atapambana kwa kushirikiana na wachezaji wenzake ili kupata ushindi. Hesabu hizo ndefu za Makambo zinakuja ikiwa zimebaki siku tano kabla ya mchezo huo kuchezwa Uwanja wa Mkapa ambapo Yanga imekuwa kwenye…
BAADA ya kupachika bao la ushindi katika mchezo wa Ligi Kuu England dakika za lala salama, Divock Origi, mabosi wa timu hiyo wameweka wazi kuwa mpira bila nyota huyo bado haujakamilika. Orogi alipachika bao hilo dakika ya 90+4 mbele ya Wolves akitumia pasi ya mshambuliaji Mohamed Salah raia wa Misri akiwa ndani ya 18 kwa…
KATIKA kuelekea Kariakoo Dabi, Kocha Mkuu wa Simba, Mhispania, Franco Pablo, ameuambia uongozi wa timu hiyo kuwa hatampanga mchezaji kwa kuangalia historia pekee. Dabi hiyo itakayowakutanisha Simba dhidi ya Yanga, inatarajiwa kupigwa Desemba 11, mwaka huu kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam. Pablo alijiunga na timu hiyo hivi karibuni akichukua nafasi ya Mfaransa, Didier Gomes.Taarifa…