
CAF YAMALIZA BIASHARA YA BIASHARA UNITED
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika, (CAF) limeiondoa timu ya Biashara United ya Tanzania katika mashindano ya Kombe la Shirikisho kwa kutofika uwanjani kwenye mechi dhidi ya Ahly Tripoli ya Libya. Taarifa iliyotolewa leo Novemba 3,2021 na Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) imeeleza kuwa CAF imefikia hatua hiyo kwa kueleza kuwa sababu zilizoifanya timu hiyo…