
HESABU ZA TANZANIA KUSHIRIKI KOMBE LA DUNIA HIZI HAPA
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo,Mohamed Mchengerwa amesema Tanzania inatarajia kushiriki kwenye mashindano ya Kombe la Dunia baada ya kumalizika mashindano ya mwaka huu 2022 yatakayofanyika Qatar kutokana na mikakati kabambe ya maandalizi inayoendelea hivi sasa. Mchengerwa amesema hayo Februari 8, 2022 jijini Dar es Salaam kwenye halfa iliyoandaliwa na ubalozi wa Qatar, kuadhimisha siku…