KIUNGO WA SIMBA AREJEA
CLATOUS Chama nyota wa Simba huenda atakuwa miongoni mwa nyota watakaoonyesha makeke yao kwenye mechi za ligi baada ya kuwa fiti. Mei 28, Chama alikuwa shuhuda kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali ya Kome la Shirikisho dhidi ya Yanga na timu yake ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 na mtupiaji akiwa ni Feisal Saulu, huku…