
HIZI HAPA KUKIWASHA LEO LIGI KUU ARA
NI Aprili 6 Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea ambapo mechi mbili zinatarajiwa kuchezwa kwenye viwanja viwili tofauti kwa timu kusaka pointi tatu muhimu. Uwanja wa Karume, Mara unatarajiwa kuchezwa mchezo kati ya Biashara United v Mbeya Kwanza ya kutoka Mbeya. Biashara United imekusanya pointi 19 inakutana na Mbeya Kwanza yenye pointi 14 zote zimecheza…