
DELE ALLI NI MALI YA EVERTON, HATALIPWA HATA 1000
DELE Alli amewashukuru Tottenham kwa maisha yake ya soka aliyokuwa akiishi hapo wakati akiitumikia timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu England. Kwa sasa Everton imekamilisha usajili wa kiungo Alli kwa usajili huru kutokea Tottenham uhamisho ambao unaweza kufikia pauni milioni 40, (sh. Bilioni 123). Hata hivyo fungu la kwanza la Alli atapewa pauni milioni 10 akicheza…