
NYOTA WAWILI WAMPA KIBURI NABI KUIVAA GEITA GOLD
KOCHA Mkuu wa Yanga raia wa Tunisia, Nasreddine Nabi amefurahia kurejea uwanjani mastaa wake wawili jambo linalomuongezea nguvu kuelekea mchezo wake dhidi ya Geita Gold unaotarajiwa kuchezwa kesho. Timu hizo zinatarajiwa kuvaana Jumapili hii katika mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kupigwa saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Mastaa hao waliorejea katika…