
SIMBA:WAPINZANI WANA WASIWASI KUPANGWA NASI KIMATAIFA
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wapinzani wao kimataifa katika hatua ya robo fainali ambao ni Orlando Pirates wana wasiwasi kutokana na kupangwa na timu bora. Jana Aprili 5 nchini Misri ni droo ya mechi za kimataifa ambapo Simba imepangwa kucheza na Orlando Pirates ya Afrika Kusini. Simba iliweza kutinga hatua ya robo…