
YANGA YATWAA UBINGWA WA 28 BONGO
YANGA imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Coastal Union kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Mchezo huo ulikuwa na ushindani mkubwa ambapo timu zote zilikuwa zinahitaji kupata ushindi. Dakika 15 za mwanzo Coastal Union ilianza kwa kasi ila mipango ilikuwa inakwama kwenye miguu ya Dickson Job na Yanick…